Get Paid To Promote, Get Paid To Popup, Get Paid Display Banner

Vijana waaswa kujikita katika ujasirimali ili kuondokana na umaskini

Posted by dani handrian
DSC_0181
Mshehereshaji Bw. Salum Msellem kutoka Istiqama Radio akitambulisha meza kuu kwa washiriki wa mafunzo ya Ujasiriamali ya siku moja kwa Vijana Visiwani Pemba yaliyofanyika mwishoni mwa juma kwenye ukumbi wa Shule ya Sekondari Madungu.
DSC_0240
Mratibu wa YUNA kisiwani Pemba, Bw. Mohammed Ali, akisoma taarifa ya maendeleo ya vilabu vya Umoja wa Mataifa visiwani humo na changamoto zinazowakabili kwa walezi wa vilabu hivyo.

 

Copyright © 2009 ikpopped | Design by [blogger merak dua]